'paulo usije kucheza na sisi una mikono michafuuu...
Huyu wa kutupa jalalani kabisa!! Hafai kabisaaa!!
<br /><span style="font-family: comic sans ms">Mkuu hapo umeniacha!!</span>
Kwa kitendo alichofanya ni nje ya ubinadamu kabisa!Acha ukatili wewe,....kwanini umtupe mwenzako jalalani?
kawa uchafu?
Wala sio jaribio gumu, ni ujinga tu wa huyo dada kwa nini asingehakikisha kwanza kama habari aliyopewa ni ya kweli?....teh teh,majaribio mengine kweli ni majaribu...
Kwa kitendo alichofanya ni nje ya ubinadamu kabisa!
Angekuwa na busara hata ya kwenda kumtembelea hospitali!
Kwa hili anastahili kutupwa!!
nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo yule mchumba akapiga sim huku akimlaumu kwa kutopatikana basi jamaa akajib kwa upole kuwa yuko hospitalini kwani alipata jali iliyompelekea kupoteza faham siku 4 na sasa hiv amekatwa miguu yote hivyo hawezi tembea tena na akamuomba aje ili amsaidie basi yule mwanamke akamjib kuwa hawezi kumsaidia kwa hilo kwani hakuwa na mpango wa kuishi na mlemavu hapo wakakata mawasiliano lakini baada ya miezi 2 walikuja kukutana tena yule mwanamke akahamaki,jamaa akamueleza ukweli basi yule msichana anaomba msamaha na hata ndugu zake pia wanamuombea msamaha,sasa japo tunatakiwa kusamehe na huyu nae vipi?
By the way,hii hadithi kakufundisha nani?
Inatufundisha nini?
Kuna makosa ya kufanya but siyo hilo la kumnyanyapaa mtu waziwazi kutokana na ulemavu wake!Hahaha,imeandikwa,....
"Ajidhaniye amesimama,aangalie asije anguka"
Kama ulichosema kitapitishwa kuwa "sheria" kwa watu flani hivi,..
naamini kuna sehemu utakosea tena leo leo na utastahili "kutupwa jalalani"
ka copy na kupaste toka kwenye wimbo Sikinde Clara mtoto wa Msimbazi kota!!By the way,hii hadithi kakufundisha nani?
Inatufundisha nini?
hahahahah...khe khe..
kumbe na wewe umeliona?
Hizi ni story tu,
Kwanza hapo huyu mwanaume ni muongo na anajitakia mabaya maishani mwake, hivi kwanini adnganye jambo kubwa naman hiyo! Hivi kwa nini umjaribu mwenzi wako mtarajiwa kwa uongo huo eti tu upime kama anakupenda!!!! mimi hapo sijamfagilia kabisa, na ningeenda na kukuta ni mzima ndio mwisho wa uhusiano kabisa coz mtu muongo ni hatari sana. Imagine huyo mwanamke angepata mshtuko kiasi cha kupata stoke ingekuwaje jamani!nina rafiki mmoja anamchumba wake ambaye anampenda sana ila hakujua kama mchumba wake naye ana mpenda basi aliamua kumtega,kwanza alizima sim yake kwa muda wa wiki 1 kisha akaiwasha muda huo huo yule mchumba akapiga sim huku akimlaumu kwa kutopatikana basi jamaa akajib kwa upole kuwa yuko hospitalini kwani alipata jali iliyompelekea kupoteza faham siku 4 na sasa hiv amekatwa miguu yote hivyo hawezi tembea tena na akamuomba aje ili amsaidie basi yule mwanamke akamjib kuwa hawezi kumsaidia kwa hilo kwani hakuwa na mpango wa kuishi na mlemavu hapo wakakata mawasiliano lakini baada ya miezi 2 walikuja kukutana tena yule mwanamke akahamaki,jamaa akamueleza ukweli basi yule msichana anaomba msamaha na hata ndugu zake pia wanamuombea msamaha,sasa japo tunatakiwa kusamehe na huyu nae vipi?