Anaejua mshahara wa dereva tanesco

Anaejua mshahara wa dereva tanesco

[QUOTE, post: 31861657, member: 189832"]
Nini sababu ya kutaka kujua au umeshagongewa?
[/QUOTE]
Nope nilikuwa napita tu ndugu
 
700k basic salary
Sema Ndugu .....ni kweli mshahara wa DEREVA Tanesco ni laki 7 basic?? Na baada ya makato anapata ngapi?? Na Je unafahamu mshahara wa madereva wa BANDARI?? NISAIDIE KAMA UNAJUA
 
Sema Ndugu .....ni kweli mshahara wa DEREVA Tanesco ni laki 7 basic?? Na baada ya makato anapata ngapi?? Na Je unafahamu mshahara wa madereva wa BANDARI?? NISAIDIE KAMA UNAJUA
Mashahara aujawai kutosha kuna watu basic ni 480,000/= ila malupulupu mpaka kufika mwisho wa mwezi ni zaidi ya 2,000,000/=
 
Back
Top Bottom