Anaehitaji karanga mbichi.

Hivi kwa akili yako na ufahamu ulionao unadhani kuwa umeeleweka vizuri kwenye hili tangazo lako ndugu...?

zipo nyekundu na nyeupe, nyekundu ni 2,700 kwa kilo na nyeupe ni 2,500 kwa kilo

ni 1,700 mkuu, typing error ni per kg. nyeupe ni 1,500@kg na nyekundu ni 1,700@kg

Hivi kwa akili yako na ufahamu ulionao unadhani kuwa umeeleweka vizuri kwenye hili tangazo lako ndugu...?
yes kuna errors zimefanyika mkuu, ila kuna walioelewa pia coz wamenipigia wanahitaji,pole kwa usumbufu.
 
yes kuna errors zimefanyika mkuu, ila kuna walioelewa pia coz wamenipigia wanahitaji,pole kwa usumbufu.
wengi ambao hakuelewa waliniuliza vzr nikawapa maelezo ya kina hanx for ur attn, next time nitafanya vzr.
 
mzigo naukusanyia songwe (mbozi) kila wiki gari inakuja na mzigo.
Sawa ntakutafuta kweny namba yako,.. Ila kwa mzigo nao uhitaji ni zile ambazo hazijambenguliwa maganda, naomba zingatia hili,.. Ahsante ntakutafuta, muda si kitambo,
 
Sawa ntakutafuta kweny namba yako,.. Ila kwa mzigo nao uhitaji ni zile ambazo hazijambenguliwa maganda, naomba zingatia hili,.. Ahsante ntakutafuta, muda si kitambo,
Unahitaji zile zenye maganda ya kuvunia, kutoka shambani au maganda haya ya kawaida ndo wayazungumzia?! Yaani yale yanayoonesha rangi ya karanga?!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…