Akilimali85 Member Joined Oct 5, 2021 Posts 9 Reaction score 10 Oct 7, 2021 #1 Kama kuna mtu yeyote ambae anafahamu kampuni ambazo hutoa magari ya mkataba kwa ajiri ya biashara kama #uber #bolt na Indrive anifahamishe tafadhali. Isipokua: FMG TANZANIA Inc.[emoji3] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kama kuna mtu yeyote ambae anafahamu kampuni ambazo hutoa magari ya mkataba kwa ajiri ya biashara kama #uber #bolt na Indrive anifahamishe tafadhali. Isipokua: FMG TANZANIA Inc.[emoji3] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Imphuvyi JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 224 Reaction score 155 Oct 12, 2021 #2 Kwani siku hizi Malmo hawatoi magari?