Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,582
- 12,444
Hicho ni kipindi kigumu mkuu,kuna mchepuko mmoja siku nyingi zimepita kidogo kutokana na uzuri aliokuwa nao nikajikuta nauza mechi...yeye kwa kuwa alikuwa haniamini akawa ananilazimisha nitumie raba;nikiangalia figa namba 8 chura ipo ya kutosha nikaona si mbaya nzi akifia kwenye kidonda,nimegonga hiyo kitu zaidi ya miezi 4;siku moja akasema sikuamini mimi naenda kupima liwalo na liwe.Mi nikamwambia poa...kila atua akifikia ananijulisha..nikasema kimoyomoyo kama majibu yatakuwa mabaya yatanitesa sana kwa sababu hata mimi nilikuwa simuamini.Baadaye ananipigia simu kabla hajaniambia chochote...ikabidi kuleta stori ili nimsome namna anavyoongea.Ndipo akanipa matokeo,yuko powa...nilifurahi sana;ikabidi nimpe zawadi ya kitambi.
Mbona umefurahi mkuu?
ha ha ha ha ha ha kwa nini mkuu?Hahahaa ww jamaa huwaga haupo serious
Mkuu kuwa mzima sio mchezo....ikabidi nimpatie zawadi ya ushindi
Yaniiii ni kesi juu ya kesiiii
View attachment 1228233
Mkuu kapime acha uoga uko fresh demu anataka uwe unateleza msitumie kondom au msakizie akapime yeye akiwa fresh ujue uko poa wanawake sio waoga kupima
😂😂😂Haya majibu yako
Ohooo kazi kweli kweliHamna mkuu anataka kuwa na mtoto mwingine ila hataki kuzaa na mme wake
Mtu mwenye mwandiko huu siwezi kuongea nae zaidi ya nusu saa[emoji30] Block itachukua mkondo wake
Hata mimi najikuta nawala wake za watu sijui kwa niniWewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.