Wewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.Hahahahaha!sikiliza kijana....wenzio tunafanya kama ifuatavyo,kama unamapenzi nae unaweza kwenda kupima kwanza wewe kujiridhisha kama majibu fuleshi ndio mnaenda wote and by the way alikuwa wapi wakati wote mpaka mmeshiriki tendo for 3 tymz....mwisho japo si kwa umuhimu asikupelekeshe kwanza ajue kuwa wewe ni hawara tu unamipaka yako asitake kukupanda kichwani.
wanaenda kwa waganga kupata waume wenye hela kama za mabeberu sio apeche aloloWewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.
Hahahahaha!sikiliza kijana....wenzio tunafanya kama ifuatavyo,kama unamapenzi nae unaweza kwenda kupima kwanza wewe kujiridhisha kama majibu fuleshi ndio mnaenda wote and by the way alikuwa wapi wakati wote mpaka mmeshiriki tendo for 3 tymz....mwisho japo si kwa umuhimu asikupelekeshe kwanza ajue kuwa wewe ni hawara tu unamipaka yako asitake kukupanda kichwani.
Wewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.
Umemaliza kila kitu aiseAmeshakuambukiza, anataka kujiridhisha kama imenasa.
Ama la, kakutwa nao anataka kujua aliyempa.
Kwa nini hamkupima siku zote kabla ya kukutana kimwili?
Yaani ushauri wa wanaume no balaaAu mweleze akakununulie kwanza supu ya kuku na pombe ulewe kwanza ndio muende
Mkifikia muafaka unitag mkuuHabari wadauu
Leo sio mada ila ni jambo shirikishii. Baada kumla mke mmoja ambaye ni wa mtu zaidi ya mara 3.
Hatimaye leo amenikazia anadaii tuka pime ngoma.
Yanii hapa nilipoo anatuma msg kama hana akili. Na kila nikikumbuka,joto la kusubiria,majibu ya UKIMWI nahisi siwezi himili.
Nikimalia kuandika hapa nazima na simu bora mahusiano yaishee mimi na yeye abaki na mme wake.
Hahahaa ww jamaa huwaga haupo seriousHicho ni kipindi kigumu mkuu,kuna mchepuko mmoja siku nyingi zimepita kidogo kutokana na uzuri aliokuwa nao nikajikuta nauza mechi...yeye kwa kuwa alikuwa haniamini akawa ananilazimisha nitumie raba;nikiangalia figa namba 8 chura ipo ya kutosha nikaona si mbaya nzi akifia kwenye kidonda,nimegonga hiyo kitu zaidi ya miezi 4;siku moja akasema sikuamini mimi naenda kupima liwalo na liwe.Mi nikamwambia poa...kila atua akifikia ananijulisha..nikasema kimoyomoyo kama majibu yatakuwa mabaya yatanitesa sana kwa sababu hata mimi nilikuwa simuamini.Baadaye ananipigia simu kabla hajaniambia chochote...ikabidi kuleta stori ili nimsome namna anavyoongea.Ndipo akanipa matokeo,yuko powa...nilifurahi sana;ikabidi nimpe zawadi ya kitambi.