Anaconda

Usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule ANACONDA.....

 
kuna kazi na laana wana-JF... Ni vipi unaweza kukaa na baba, mama, kaka au dada yako mkatizama hiyo video... :angry::angry::angry:
 
Baba na Mama ndiyo kwanza wanamwaga MISIFA,,,,,,,,,
kuna kazi na laana wana-JF... Ni vipi unaweza kukaa na baba, mama, kaka au dada yako mkatizama hiyo video... :angry::angry::angry:
 
Lakini wanasema hajapata kutokea demu bomba kama cleopatra, kama ni kweli basi hata huyu ni kinyago tu!!!!!! kiukweli huyu na shetani wanatumia mbinu zinafanana kuwakengeusha haiyumkini hata waja wa mwenyezi mungu.

mi simoooo, Ngoja niwawekee kafoto ka mama ngina wangu muone kama anakonda hajanenepa kwa hofu ya mpambano.
 
Iyo kava foto noma
Icho kikamba kimenidindisha mbaya
 

Nani aliyemuona Cleopatra, maneno tu hayo, mademu bomba wapo maisha haya haya ndugu yangu.
 
Hiyo video ni noma alipoupload tu YouTube ndani ya siku 4 walioview zaidi ya million 85
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…