Leo hamna floats• BOT haijatoa taarifa Rasmi kama mifumo yake imeingiliwa
• Amefanya mazungumzo na kiongozi wa DP world , chairman wao na CEO WAO
• Amemuambia chairman wa DP world kuwa miamala yake ipo wazi
(Kampigia simu Leo na kuongea nae kwa simu)
• mifumo ya kifedha ( Gepg, tips , tiss ipo wazi)
• Kuna uwezekano desemba mishahara zisifanyike watazuia mifumo ya kifedha..
Lengo ni ku paralysis government
Kufatilia live hiyo ingia TikTok washa VPN andika neno summerclif00 ufatilie LIVE yake
toa helaLeo hamna floats
Milioni moja na nusu ukienda na cash tu wanaanza kuangaliana
Anatumia jina gn?Yupo live akimaliza wataweka video
PoaYupo live akimaliza wataweka video
Nimejikuta nacheka kama mazuriKwamba Disemba mishahara mapolisi hawapati?
Ila jamaa wana njaa sana sana, niko hapa Kahama nimeingia jana but njia nzima jamaa wanaomba pesa....hadi aibu.Kwamba Disemba mishahara mapolisi hawapati?