Anachokifanya Magufuli ni kupaka rangi bucha

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,250
1,467
Mh.Rais alitwambia atapunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi lakn anachokifanya ni kupaka bucha rangi lakn ndani nyama ni ileile ghalama ni zilezile.

Wizara 18 mawaziri na manaibu waziri 36

Wizara 18 makatibu wakuu na manaibu 50!!

Hii ni zaidi ya lack of planing.
 
Hat mie nimeshindwa kushangaa kwa kweli.

Tena bila hata aibu wale wale waliowajibishwa na bunge ndo kawaleta tena....

Hii kweli nayo KANYABOYA
 
Acha kutuongopea hebu fanya utafiti wakati wa jakaya tulikuwa na mawaziri na manaibu wangapi tulikuwa na makatibu na manaibu makatibu wangapi na sasa wangapi.....usilete ukawa wako hapa fanya tafiti ndiyo uzungumze
 
Hahaha aisee fasihi tamu sana ,hili la kugeuza bucha limenichekesha
 
Mh.Rais alitwambia atapunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi lakn anachokifanya ni kupaka bucha rangi lakn ndani nyama ni ileile ghalama ni zilezile.

Wizara 18 mawaziri na manaibu waziri 36

Wizara 18 makatibu wakuu na manaibu 50!!

Hii ni zaidi ya lack of planing.

Nenda kamwambie mtetezi wa wasiolipa kodi lowasa mafisadi kwenzake,ya magufuli hauyawezi lofa wewe
 
Nenda kamwambie mtetezi wa wasiolipa kodi lowasa mafisadi kwenzake,ya magufuli hauyawezi lofa wewe
Km kweli ninyi wanaume mpelekeni mwanaume mwenzenu kwa pilato, akahukumiwe kwa dhambi zake, tumechoka na kelele zenu, Kumshtaki hamuendi mmekazana fisadi, alifisadi wake zenu au???
 
Acha kutuongopea hebu fanya utafiti wakati wa jakaya tulikuwa na mawaziri na manaibu wangapi tulikuwa na makatibu na manaibu makatibu wangapi na sasa wangapi.....usilete ukawa wako hapa fanya tafiti ndiyo uzungumze

Tumia busara kubishana na wasomi wewe! Ungetakiwa uweke facts kuhusu hiyo idadi mkuu, sio kuandika kama form ii anaedanganywa kuwa kuna elim ya bure!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom