Kwa tiketi ya ChaumaMaridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
inashangaza sana demokrasia ya ndani ya chadema aise,Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
Hajazuiwa kugombea, atagombea ,Vyama ni vingi.Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
No Reforms, No Electioninashangaza sana demokrasia ya ndani ya chadema aise,
watu walituhumu wengine kwamba ni wala rushwa ndani ya kamati kuu ya chadema bila ushahidi, na ikaonekana ni uhuru na haki ya kujieleza kwa uwazi ndani ya chadema,
sasa haijulikani tatizo liko wapi watu wakitangaza nia za kugombea udiwani, ubunge na urais kupitia chadema, kupinga na kupuuza utapeli wa no reform no elections kwa uhuru na uwazi eti ina kua nongwa na shida kubwa sana?
huo si ndio uhuru na haki ya kujieleza my friends, ladies and gentleman? na ndio chadema inaupigania kwa wanachadema na wananchi wote kwa ujumla, au mambo yamebadilika?
Sure lo. Time is the best answer
Vyama viko vingi na si chadema pekee,anaweza kwenda kugombea ubunge kupitia chama kingine.Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
kesho kitawaka HQ gentleman Halafu huyo mchome anawachoma mbaya sana, pamoja na Romanus mtangaza nia ya urais kupitia Chadema 2025🐒No Reforms, No Election
Ndiyo maana natamani tungekuwa na vijana wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore ndani ya JWTZ na TISS ili tuachane na wanasiasa kwa miaka mitano vyama vyote vifutwe tuanze upyaaa kwani kuna kakikundi kadogo kanaona kana hatimiliki ya nchii hii.Huwa nikiwaona ama kuwasikia wanasiasa ninakereka sana.
Muda wowote mwanasiasa yeyote anakuwa popote.
Yaani ni vinyonga haswa. Hayana misimamo, jitu likishahongwa linabwatuka tu.
You are just a rubish na hutusumbui mbayuwayu mmoja, endelea kutunisha mgongo na majibu yake utayapata.Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
Huyu kuna kitu anatafuta huyu!!Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
Domo kubwa kama chai jaba.Maridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.
Ndiyo maana natamani tungekuwa na vijana wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore ndani ya JWTZ na TISS ili tuachane na wanasiasa kwa miaka mitano vyama vyote vifutwe tuanze upyaaa kwani kuna kakikundi kadogo kanaona kana hatimiliki ya nchii hii.
anaepinga mabadiliko anakuwa anataka uchaguzi wa kuchinja kuua kuteka kuenguliwa na kubambikizia kesi wapinzaniMaridhiano yalikua ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu la chama na watu walitoka hadharani na kupinga kwa uhuru kabisa.
No reform No election ni maamuzi ya chama na yalipitishwa na baraza kuu kwanini iwe haramu kupinga?. Binafsi ntagombe ubunge Mwanga mwaka huu.