Ana mimba

Ana mimba

No matter

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
60
Reaction score
10
Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote.

Nawasilisha.
 
dk kasemaje kuhusu hali hiyo ya kuwa na mimba halafu anaingia katika period, au hiyo period imetokea baada ya kuwa mmetoka kwa daktari?
 
Hilo swali lako ulitakiwa kumuuliza huyo daktari aliyewapima!
 
Mkumba Vana tumetoka hospital saa sita mchana, na period imeonekana jion hii, bt alikua hahisi dalili za period pia hajahis maumivu yeyote. NB: 2lienda AGAKHAN
 
Last edited by a moderator:
Mkumba Vana tumetoka hospital saa sita mchana, na period imeonekana jion hii, bt alikua hahisi dalili za period pia hajahis maumivu yeyote. NB: 2lienda AGAKHAN
 
Last edited by a moderator:
Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote.

Nawasilisha.

Kwanza Mchumba anakuwaje na mimba? anaetakiwa kuwa na mimba ni mke sio mchumba! kwa hiyo katika hali ya uchumba tu mmeshaanza kuvunja utaratibu wa ndoa? lakini hata hivyo inawezekana kwenda period ukiwa na mimba ya mwezi mmoja hilo linawezekana angekuwa mke ningekueleza mengi zaidi. Leo hayo yanakutosha
 
Hi! Jf, swali kwa wanajua tu.leo nmempeleka mchumba wangu hospital amepima amekutwa ana mimba ya mwezi mmoja,, bt ameingia period leo, je mtu anaweza kuingia period while yuko mimba ya mwezi mzima? Majibu kwa daktar 2mechukua wote.

Nawasilisha.
hahahaha
Acha kuogopa majukumu wakati hupendi condom.
 
inawezekana sana...hata huyo mchumba wetu anajua kama inawezekana
 
Bigbro just know that imehapen after testing, aren`t u?
 
Last edited by a moderator:
inawezeka hiyo hali na mimba bado ikawa salama kabisa japo si hali ya kawaida. Binafsi ilishamtokea shemeji yenu lakini mimba ilikuwa salama kinyume na kiwango cha damu kisicho cha kawaida kumtoka wakati akiwa na mimba ya miezi kama 3 nadhani.

Ushauri, rudi/nenda kwa daktari hasa huko Agha Khan au kwingine kuliko na huduma ya Ultra Sound ili achunguzwe, kama imeharibika asafishwe na kama iko intact ashauriwe kitaalam.

MV
 
mwathu nimesema kwa wanaojua tu!!!!! Ukiona mtu kashindwa kuelewa swali jua lazima afeli tu, take it into consideration ok!
 
Last edited by a moderator:
labda mmechanganya majibu ya mimba na ukimwi. siku hivi vipimo hivo vinakwenda sambamba.

pia unaweza kuwa na mimba na ukabridi hata menstral period mbili tatu sio kitu kigeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom