Mkuu lazima ujue kwanini alikuwa cold, sababu kama msichana hakiwa hayupo tayari kufanya tendo, labda kulazimishwa, au yupo emotionally au anakumbuka kitu kilishowahi tokea (labda rape) basi lazima atakuwa cold na its up to you kwenda nae polepole ili akuamini na sio kumkimbia au kumpiga kibuti.., cause kama alishawahi kuchezewa basi na wewe utamuongezea imani ndogo kwa wanaume, especially wewe ulivyosema kwamba ulikuwa unalazimisha tendoAu wadau mnaonaje
- sijamfurahia katika tendo, she is so cold
Hapana Mkuu huenda alikuwa hayupo tayari kukupoteza so akawa tayari kufanya anything ili uwe karibu nae, (ni kweli kama alidanganya ilikuwa ni uongo wa kijinga) lakini maybe motive ilikuwa ni love kwako
- nimeona ni mwongo mwongo fulani
tehehehe 50/50Wanaume kwa kuonja onja nyie!! Lol.We mwenyewe utakuwa wa baridiiii.
Hodi JF;
Au wadau mnaonaje
- sijamfurahia katika tendo, she is so cold
- nimeona ni mwongo mwongo fulani
- msumbufu
Wanaume kwa kuonja onja nyie!! Lol.
We mwenyewe utakuwa wa baridiiii.