Ana hasira, STD Seven, nipo njia panda!

Mim na demu
-hajawahi kuwazia maisha
-hajui kupika

Yaani yupo yupo tu, kama mzinga wa nyuki, kuutua nashindwa

#wtf?
 
I am a woman and I tell you,thats the woman. If you truly love her na kumuonyesha you really care hizo hasira zitapungua. Kwa jinsi ulivyomuelezea hata ukimwambia asome elimu ya sekondari kwa miaka miwili hatakataa. Dont lose her,women like her are almost not existing. Thanks
 
Broo kuwa makini ,hiyo type ni chache sana mm nna mshkaji wangu kaoa mke ana masterz ila maisha ya mshkaji na degree yake ni mateso kila wakati yaani yeye ndo amekua kama demu,sasa fungua macho umshkuru Mungu kwa kumpata binti anaejielewa namna bila kwenda hata kidato...."mwache ujute"
 
Mkuu pole mno umerogwa naenda katika maombi kukuombea kuanzia kesho.....hivi wewe jamaa unaakili kweli au umeshikiwa, unachowaza ni homework za watoto??

pole mkuu narudia tena umerogwa na nitafunga kukuombea maana Mwanaume mwenye akili timamu hawezi waza kama wewe
 
alafu kuhusu sumu Waite wadada wote humu kaa nao chini watakwambia hakuna mdada mwenye hasira kwa mtu anaempenda yani jenga romanticism ambayo mbebe akichukia akukumbatie tu alie wakuu mbona mambo mengine mepesi mno
 
Kupata mwanamke wa style io kwa mimi ata angeishia chekechea naweka ndani watoto watasoma kingereza shule mama yao atawaambukiza mbinu nzuri za kimaisha wangapi wamesoma wanakimbizwa na std 7 mtaani,shangaa yeye hajasoma anasomesha wandugu zake
 
There is no perfect man/woman, and golden chance never come twice. Just believe on your inner feelings. If it says this is the one then it is the one.
Matatizo yatakuwepo kila sehem na itakubidi uyasolve if not ngeli then its another one.
 
Kumpata mwanamke ambaye atakua perfect by 100% ni ndoto, ila kwa simulizi hii fupi mi nadhani huyu ni bora zaidi. Kumpata mwanamke wa type hii ni nadra sana, uzuri ni kwamba hasira yake ni ya muda na ikiisha anarecover. Unachotakiwa kufanya ni ku-maintain kutomkwaza mara kwa Mara. Oa huyo atakufaa
 
big advice....thanks
 
Huyo ni wakuweka ndani,sisi tulio oa madegree mpaka sasa tunapumulia mashine hoi bin taaban; baba mjuaji mama ndo usiseme.
 
Jamani kama tunashare demu mmoja...! 99% ya uliyosema anayo demu wangu mmoja mpk nikahisi ni yeye, ila yeye ana pacha mwenzake au ebu tuwekane sawa mkuu, ni mtu wa wapi??
 
We jamaa ndani ya week umeshafungua nyuzi ngapi humu jf? Au mtunzi mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…