mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
na kwa nini umempiga mikasi mtoto wa watu kabla ya ndoa???
Kumbe msaada tutani unataka utoke Beijing tu,poa acha nipite tu.
mi mwenyewe nilivyoiona hiyo especially akina michelle mzuka wa kuchangia umekata.
Mkuu hizi sasa FITNA
michelle mwenyewe kaingia mitin msamehe bdo mtoto mtoto akinyea mkono utaukata?
Nimepapenda hapo.Nimekusoma Sigma, nina wazo "nisababishe" fasta ili Mama awe mpole,hili unalionaje
Huu ni mwez wa 3 weka mimba sasa hv akimaliza chuo inakuwa rahs unapewa mke fasta kama kusukuma mlev vile!
Mkuu hii itakuwa option ya Mwisho,ila ipo katika plan C
Nimekusoma Sigma, nina wazo "nisababishe" fasta ili Mama awe mpole,hili unalionaje