An Open Letter to Shy-Rose Bhanji

Shy rose ana sifa zote za kuwa celebrety! Ni sugar mamy,mlevi,ana chukuliwa na yeyote hasa wanasiasa! Tatizo nililo liona kwa Shy-rose amewapa sana wakubwa na alijua atafanikiwa kwa kutoa sana! Ana frastulations kwa kutumika sana bila gaining! Duh theory ya Ukitaka kula lazima uliwe ni mbaya!
 

(c) Kikwete, 2008. Haki zote zimehifadhiwa.
 


hakuna cha SHY hapa, kijana ndio nini? weka wa kwako hapa
hacha kudhalilisha nafsi yako wewe
 

Are u sure????
 
Shy ameambiwa ukweli inawezekana kama angeenda mjengoni asingeyaona hayo aliyosema kwenye fb ila ametusaidia kuona kuwa hata ndani ya magamba kunawenye kuona ukweli wakausema hata kama wana hasira za kukosa ulaji.
 

john marwa wewe ulitaka shy ampe babako?? acheni wivu wa kike...au na wewe ni hasira kwa vile huyu dada hawezi kukuangalia kama anavyowaangalie wengine? inaonyesha ni kiasi gani unamjali mpaka umeamua kufuatilia hii thread...idiot nambari one
 
Shy rose yupo sahihi kabisa,nitasema ukweli daima uongo kwangu mwiko.
 
Shyrose amethubutu kusema kile ambacho wanaccm wengi hawawezi pamoja na kuuona ukwel, jk anakera sana kama rais wa nchi
 
OK Shy Rose may be an addict of questionable taste and all, but her contribution is assured in that she dared to speak her mind about Kikwete's competency.

When historians will revisit this period the record will show that she regretted her initial support for Kikwete.

Sasa kama ni kwa sababu hakupata cheo and all cannot be proved, ukweli ni kwamba kammaliza Kikwete. Na tunahitaji zaidi uwazi kama huu, ni wa kusifiwa, wala si kubezwa.
 
Be it ni maneno ya mkosaji au la, the guy is driving this country to the unkown. Nchi imemshinda JK jamani. Kutokukubaliana na hili pia ni hypocrcy!
 
Alichokifanya Shy ni sahihi kwa zama hizi,Chama Cha Mapinduzi hakitoi fursa sawa ya wanachama kutoa maoni/kukikosoa chama ndani ya vikao halali vya chama ,so haya ndio matokeo ya mfumo huo mbovu.Wanachama wenye ujasiri kama Shy wameamua kuongea hadharani.
 
Inaonyesha ni jinsi gani mwaandishi wa barua hii asivyo na fikra chanya katika kutetea hoja zenye mwelekeo wa kimapinduzi.Hii ni moja ya jitihada zako binafsi za kujipatia umaarufu kutokana na hoja nzito Shy alizoibua.Ni mtu wa kuogopwa kwenye jamii ya mlo mmoja kwa siku(Jamii ya watanzania).Umejaribu kuonyesha hisia zako na mapenzi yako kwa rais JK bila kujali kuwa watanzania wanahitaji watu wa kuwaamsha dhidi ya udhalimu na ufedhuli wa Serikali ya JK.
Watu kama nyie sio mfano wa kuigwa na hamtakiwi kupewa nafasi kueneza uzushi wenu kwa malengo binafsi.Huu ni upotoshaji wa dhahiri,kwa muelewa ataona jinsi unavyojipendekeza kwa Mh. JK kwa malengo binafsi.
hayo maswali unayouliiza hapo sizani kama ulistahili kuyauliza ili hali hali halisi inajulikana.Kwa kukusaidia Watanzania wa leo sio wale wa miaka ya 1990,inasikitisha mtu kama wewe uliyekaa nje ya nchi kwa kufikiriwa kuwa umepanuka kimawazo unajibu article kiudaku namna hii.
 
Watsafuuck is this!
its unbe****enlievable this lady has dare something t at extra powered fathers in magamba will never even test to dare...
she killed no ****en messengers. they are already dead on their own.. to give is no to take whatever she gave to seek, but she take wats in her inner heart..
yes she supported that man in 2010 she ha right to dare not 2011 n 2015.....

so berg to not hell n shiiit at her
 
Aliyosema Shyrose ndio hali halisi. Lakini tukubaliane tu kwamba si kwa sababu anaipenda sana nchi, la, ni kwa sababu anajua kwa kufanya hivyo atapata angalau u-DC.
Subirini orodha ya ma-Dc wapya uone kama hatakuwemo! na huo ndio utakuwa mwisho wa nyimbo anazoimba leo.
Angalia mwenzie Nape, yeye naye alishaanza hizi hizi na sasa ni hatari kuliko alivyokuwa. Siwaamini kabisa watu hawa.
Udhaifu wa Kikwete haukuanza leo wala jana bali ulikuwa dhahili hata kabla ya 2005, lakini kwa kutofanya utafiti wa kutosha, na kushabikia kila kitu kwa manufaa binafsi leo wanajuta.
 
Shy-Rose message was very clear, you have the choice to agree or disagree. I don`t see the point of arguing on this issue, I believe the author is trying to shift the focus from the main cause. A good number of CCM aspirants including myself supported President Jakaya during election,we were fooled like the rest of Tanzanians, I am so troubled with the author, his/her motives behind the article is not clear, there are so many questions left unanswered. We all fight for changes, she has decided to fight within. We may not like her personal but let support her views.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
banae...kwani huyu mwanamke kaongopa!!kikwete hatufai, amefail sasa amayumbisha taifa letu,binafsi sitaki kujifikirisha ati shy-rose angukuwa mbunge mawazo yake yangekuwaje, ila kubaki kwenye ukweli kwamba bariz hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…