M Mr. Magena Member Joined Aug 30, 2011 Posts 35 Reaction score 4 Apr 27, 2012 #1 - sumone eats pizza nxt to n u r hungry like hell
Endangered JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 922 Reaction score 231 Apr 29, 2012 #2 nayo yataka moyo kula Pizza kwenye usafiri wa umma. Wengine ndo tumezoea nafuu half keki. Anyway, kauka umuombe kipande, japo kuonja. Najua ni shida kwa kuwa huyo atakuwa ni mdada kwa asilimia kubwa.
nayo yataka moyo kula Pizza kwenye usafiri wa umma. Wengine ndo tumezoea nafuu half keki. Anyway, kauka umuombe kipande, japo kuonja. Najua ni shida kwa kuwa huyo atakuwa ni mdada kwa asilimia kubwa.
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Apr 29, 2012 #3 anakula pizza ndani ya daladala?mmmh tembea uone