Kwahiyo mwanamke mmoja 'mgonjwa" anaweza akamuua mkurya. Asingekuwa mgonjwa?Yaani maana yangu ni kwamba, Mwanamke mmoja mgonjwa wa Kikurya ni sawa na wanaume 50 wa Dar walio wazima kiafya.
Eka saa.
leo wa mikoani yametukuta, angekuwa wa vingunguti sijui kama povu letu mngelihimili hata kwa maivuli.Magendandali magendandali
R.I.P mwanaume wa mkoani
Binti mwenyewe bado mbichi, halafu si wamepishana miaka 12 kashindwa kumdhibiti ooomamaKhaaaa jela hiyo...
Ugali wa uraiani ulivyo mtamu...Asante Mungu kwa kunipa hofu ya kupigana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani wanaume wa dar mpooo inabidi mbadilike ona mnavyo dhalilishwaYaani maana yangu ni kwamba, Mwanamke mmoja mgonjwa wa Kikurya ni sawa na wanaume 50 wa Dar walio wazima kiafya.
Eka saa.
Kama kunawa si angenawa hukohuko alikomalizia labda tuseme ,kuna mengine hapo si hilo tu.Wanawake wengine bure kabisa.Mtu kakuheshiku kaona kuliko uje kulamba ute wa mwenzio bora aioshe ili na wewe upate haki yako unamuua.Sasa ulitaka aunganishe mechi bila kunawa?
Mke mwenyewe mdogo damu ndiyo inachemka sasa baba nguvu zote zimeishia huko kashindwa kumdhibiti, R.I.P mkakaMwanamke ni haki aulize kwa nini mmewe afike usiku apitilize bafuni kuoga, halafu anajibiwa shombo. Halafu inaonekana kulikuwa na ugomvi wa mda marefu kuhusu kuchepuka kwa mwanaume, siku iyo uvumilivu ulimshinda. R. I. P
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]JE UKIKUTA AMEMSIMISHA MDADA KONA UTACHUKUA HATUAGANI? Mume/mtu wako wa karibu.
Kabisa
Kweli kabisa mkuu. Saa hizi anajuta huko.Halafu sasa kama wana watoto, ndiyo watabaki bila baba wala mama. Kisa ni wivu ulio pitiliza. Kweli hasira, hasara.