Amuua mumewe kisa amewahi kuingia bafuni

Kwa hiyo wewe unapendekeza alje afungwe segerea?kwa nini wamsafirishe kote huko kote mpaka dar tena segerea?bob isije ikawa we ni askari magereza au mfungwa segerea ndo unataka uletewe bibi... Ndo maana unapendekeza aletwe segerea kulima hindi lako.

Aende TU! akatulimie mahindi huko segerea
 
Watu wa mara, si wanawake si wanaume wote akiri zao sawa, wote, waongo, tunakaa nao uku magole, wana tabia za udokozi, watoto wakiiba wanapeleka kwao wazazi wanapokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umbea mkuu haya matukio hata mikoa mingine yanatokea, likitokea Mara mishipa ya shingo inawatoka sana kwanini?
pole sana naona wewe mishipa ya matako imekutoka
 
R.I.P mume....mapenzi ni kitu hatari sana!
 
Kitu chenyewe hakiishi ndio tutoane uhai!
 
Mtoa mada uko deep sana hujaacha neno hasa uliposema kitaramanka kata ya mirwa nimewahi kuhudumu huko nadhani utakuwa mwenyej maeneo hayo ila ungeweka picha sasa

acha uongo
 
Kwahiyo mwanaume wa Dar ana nafuu kuliko mkurya??

Mwanaume Mkurya anauliwaje na mwanamke??
Yaani maana yangu ni kwamba, Mwanamke mmoja mgonjwa wa Kikurya ni sawa na wanaume 50 wa Dar walio wazima kiafya.

Eka saa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…