Mimi kwenye ndoto za utotoni hadi nafika darasa la4 nilikuwa nikiota mfano naoga moja kwa moja fahamu zinakuja nitakapojitupia bwawani maana bwawa letu lilikuwa kama mita 250 tu kutoka nyumbani.
Nilikuwa naweza kuamka na kutembea nikiwa usingizini. Kitendo cha kujibwaga majini ndo kilikuwa kinaniasha na nitarudi salama salimini.