nafanya kazi telecom company mi eng kuna shift wakubaki nyumbani siku nipo nightMwanamke hujaolewa housegirl wa nini?
nafanya kazi telecom company mi eng kuna shift wakubaki nyumbani siku nipo night
uswazi usalama kidogoHata mimi niko single na nafanya kazi graveyard shift lakini sina housegirl wala boy na maisha yanaenda vizuri tu.
mimi nafurahia huyu mama alikuwa na nyodo sanaNdio nabalasa tena namtoa race na relay au olimpic kabisa!!! Beki tatu akishajua utamu wa Dudu bana kheri umtimue tu, maana mtakuwa mnagombea kukaa kwenye kioo siku nzima. Sasa akisha fanya hivo afu akajua umejua na umemuacha atabeba mimba kabisaa afu ndo utajua cha kuwaeleza kijijini kwao, kama ulipewa umuuze au akufanyie usafi
uswazi usalama kidogo
Mwanamke hujaolewa housegirl wa nini?
mimi nafurahia huyu mama alikuwa na nyodo sana
Mh, kuna ubaya ukiwa na house girl ilihali hujaolewa?
alitumwa na mimi au niniKwa hiyo unafurahia mateso ya huyo mama sababu ana nyodo??
Wasichana bana mna mambo
Kumbuka unaongelea familia ya mtu hapo, je hilo adhabu inalingana na kosa alilokufanyia??
Mtu anaiba kuku unamhukumu kifo lol
Mwanamke hujaolewa housegirl wa nini?
nitakaa mwenyewe mi mchawi? am so lovelyMimi naishi kwa Ali Maua...it doesn't get any uswazi than that.
housegirl wa elfu 30 unaona ni issue? nikisema nina m 200 benk si utakufa?Wabeja Ongw'ise... yaani hivi vi thread vya kutunga havina ishu kabisa na Mods hawana hata habari
nitakaa mwenyewe mi mchawi? am so lovely
housegirl wa elfu 30 unaona ni issue? nikisema nina m 200 benk si utakufa?