IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!
Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ambayo ilinifanya nikose kidogo mda wa kutembelea jamvi, hatimaye nimerudi tena nchi yangu nnayoipenda, ila kweli nimestuka baada ya kuingia kama siku mbili nzima bila kumuona kipenzi "amu" popote alipo naomba ajue namkubuka, nammisi na namtafuta, nimefeli ku retrieve inbox kupata namba zake, nilipoteza simu, kama hata aliamua kubadili ID, naomba aliyemuona au kama ataona bandiko anitafute jamani, siku ni nyingi sana simskii.
^^^^^^^^^
'amu' nimekumis sana, plz tuwasiliane,
Mungu akubariki sana.:A S kiss: