Amtega baba mzazi.....

Dunia imefika ukingoni hakika.
Natamani iwe ni hadithi tu ya kutunga

What?? You must be dreaming! Kuna incidences kama hizi lukuki Bongo yetu hii hii na hata nje ya nchi. Niliwahi kuomba ushauri wakati nikifikiria kumtokea mrembo mmoja na nikaambiwa na wazee wa eneo walilotoka kuwa: "Ukoo huo utachangia mke na baba mkwe". And it wasn't only for the father of that girl only, it started generations ago!
 
Laana-tu-llah!

Yaani binti anam-seduce baba yake mzazi, majanki wamekosekana kitaani ama ndo geti kali hilo?
 
Jamani huko mbinguni aliko Mungu ana kazi jamani!!!!na kama ni kazi tu shetani anifnay haswaaaaa maanake mambo yanayoendelea duniani wakati huu sijui hata yametokea wapi???????shortly i loose suitable words to explain!!!!!!!!!!!!!!!
 
ni jambo/kosa gani linalosababisha laana kali kama hii. pia nanai mwenye mamlaka ya kutoa hii laana kwenye familia/ukoo? i assume "mtoa laana" yupo kwenye hiyo familia, jee yeye haumii/haonu aibu juu ya hili jambo?
 


Amelaaniwa huyu mtu.....
 
ni jambo/kosa gani linalosababisha laana kali kama hii. pia nanai mwenye mamlaka ya kutoa hii laana kwenye familia/ukoo? i assume "mtoa laana" yupo kwenye hiyo familia, jee yeye haumii/haonu aibu juu ya hili jambo?

tuseme familia hiyo haikuwahi kuwa na laana ni bange tu za mtoto na ukware wa baba wamegegedana mama kijajua lazima ataumia na ataacha laana kwa wote yaani kumwambia mumewe uzao wako wote watapatwa na aibu hii means hadi vilembwe wa mumewe watajikuta tuu wanatembea na watoto wao na bintiye pia atamlaani na kumwambia mwanangu umetembea na baba yako, wewe ni mwanamke utazaa tu nakwambia binti zako watakutenda hvhv basi ndo laana inatembea hivo na laana ya mtu wa karibu inashika kama hukuwahi kuomba radhi hadi yule mtu akafa.

Wengine kutengua laana inabidi ibada ifanyike na damu imwagike ya kuku aumbuzi au ng'ombe kulingana na ukubwa wa jambo. Wewe hujawahi kuona ile laana ya wizi mtu anaiba tu na kwao matajiri? zile ndo laana unaweza kuta babu yake alimuibia baba yake au mtu ambaye alimlaani kuwa hadi kizazi chako chote. Pia kuna laana ya kutowajali wazazi huwa inashika kizazi kwa kizazi hii mie nilishaiona sana. Utakuta kuna bibi kijijini anawatoto mjini hakuna hata mmoja anayemtunza wala kumjali sio kwa chakula wala mavazi wala mahali pa kulala. Ukifatilia utaambiwa huyu bibi nae alikuwa na hela kweli ila hakuwa anamjali mzazi wake, sasa ujue na wewe utaachiwa laana tu na huyo bibi na kinapita kwa watoto wajukuu hadi ifikie kwa kizazi ambacho ataamua kufa na laana yake yaani asilaumu kuwa wanangu hawanitunzi aone kuwa ni sawa na asiwatamkie mabaya na akafa na shida zake basi atakuwa amekiokoa kizazi jacho ila akilalama hasa wazee basi ujue uzi ni uleule.
 
Though you We'll be given an advice to stop doing but nothing else you gonna take an action,try to make your own decision.
 

Hii hapa binti yako wa 15yrs akiisoma unategemea nini?
 
sawa tuu mbona binadamu yupo quick sana kutaja maandiko pale anapotaka kutetea hoja yake. lakini kugegedana mbona sisikii watu wakisema maandiko au kwa sababu tamu

kugegedana pia imeandikwa "MSINYIMANE ILA KWA MAKUBALIANO" hii ni kwa wale waliohalalishwa. "MKE NA AMPE MUMEWE HAKI YAKE"

USIZINI hii ni kwa wale wasiohalalishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…