RuwaIkunda
Senior Member
- Nov 2, 2017
- 156
- 278
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usiku mnafanyaga nn? Someni hukoGB wanakupa nyingi ila speed katafute mwenyewe
Nashukuru ndugu, naomba unipe code ya kupiga kupata hicho kifurushi cha usiku cha halotel.Mkuu nenda halotel wanakupa gb 5, kwa 1500.
Nami nilikua mdau airtel sema ndio hvyo washazingua.
Fafanua boss.Mkuu nenda halotel wanakupa gb 5, kwa 1500.
Nami nilikua mdau airtel sema ndio hvyo washazingua.
Sajili line ya halotel menu nafikiri ni 148*66Fafanua boss.
Shukrani ndugu, nimeona. Ila GB5 kwa 1500 aiseee. Hahaha.Sajili line ya halotel menu nafikiri ni 148*66
Unaingia internet alafu utakuta night pack.
Zamani ilikuwa bila kikomo, nilikuwa nadownload mizigo ya kutoshaShukrani ndugu, nimeona. Ila GB5 kwa 1500 aiseee. Hahaha.
πππ.Lala tu Mkulu kwani wewe ni popo!?
Nimecheza nayo sana hiyo...Zamani ilikuwa bila kikomo, nilikuwa nadownload mizigo ya kutosha
Shida mnavitangaza jila mtu anavitumia na wao wakiona muitikio ni mkubwa mnabadilishiwa giaMitandao yote wamefuta kifurushi Cha usiku yaani hawana huruma nikutupiga tu