Amsha Popo - Airtel

Amsha Popo - Airtel

RuwaIkunda

Senior Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
156
Reaction score
278
Je, kuna yeyote humu ndani anajua mbadala wa kifurushi cha usiku cha internet kama kile cha Airtel cha Amsha Popo?

Maana leo nimejaribu kuunga lakin sikioni nimepiga simu HUDUMA KWA WATEJA wamesema wamekitoa, je mitandao mingine wanakifurushi cha USIKU cha internet cha GB 10 kama cha Airtel?

Kama kipo naomba kujua ni mtandao gani na gharama yake ukijiunga ni kiasi gani?
 
Mkuu nenda halotel wanakupa gb 5, kwa 1500.

Nami nilikua mdau airtel sema ndio hvyo washazingua.
Nashukuru ndugu, naomba unipe code ya kupiga kupata hicho kifurushi cha usiku cha halotel.
 
Mitandao yote wamefuta kifurushi Cha usiku yaani hawana huruma nikutupiga tu
 
Back
Top Bottom