Elections 2010 Amri Kumi za Kuikomboa Tanzania

Kichankuli

JF-Expert Member
Dec 18, 2008
887
189
Amri 10 za kuikomboa tanzania

1. Usikumbatie waovu kama Kikwete

2. Usiwe mwizi kama Lowasa

3. Usiwe mwongo kama Makamba

4. Usiwe mnafiki kama Rostam

5. Usidharau pesa kama Chenge

6. Usikose msimamo kama Mrema

7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma

8. Msirumbane ovyo kama CCM

9. Usiwe na kiburi kama Mramba

Amri kuu
10. Usiipigie kura CCM

Habari ndo hiyo

 

Hapo kwenye RED nimemwongezea Jenerali A.Shimbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…