Amri Kumi za Kuikomboa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri Kumi za Kuikomboa Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kichankuli, Oct 8, 2010.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Amri 10 za kuikomboa tanzania

  1. Usikumbatie waovu kama Kikwete

  2. Usiwe mwizi kama Lowasa

  3. Usiwe mwongo kama Makamba

  4. Usiwe mnafiki kama Rostam

  5. Usidharau pesa kama Chenge

  6. Usikose msimamo kama Mrema

  7.Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma

  8. Msirumbane ovyo kama CCM

  9. Usiwe na kiburi kama Mramba

  Amri kuu
  10. Usiipigie kura CCM

  Habari ndo hiyo

   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ujumbe mzuri!!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye RED nimemwongezea Jenerali A.Shimbo!
   
Loading...