Amri kumi za CCM kwa WALIMU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri kumi za CCM kwa WALIMU

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tozi, Jun 27, 2011.

 1. tozi

  tozi Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. mara zote mfanye mwalimu mwoga kwa serikali na chama. 2. Mlaghai kwa WITO na si kipato. 3. Mfundishe kuwa mpole asidai haki. 4.Mfanye asiajiliwesekta nyingine ili umtumie. 5.Mtumie kwenye chaguzi na sensa ajione bora 7.Msifie kila siku avimbe kichwa 8.Weka viongoziwa chama CWT ili asifurukute 9. mtumie kama ubao wa matangazokwa tshirt za chama. 10Mara zote wagawe na kuwatawala. amen
   
 2. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ccm naichukia kwa moyo wangu wote,wametunyanyasa vya kutosha,sasa inatosha kwa kweli.MUNGU ailani CCM.
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Naacha kazi!
   
 4. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  daah hv kumbe mpaka leo ualimu ni wito?!
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa ni chipukizi lakini ameanza na thread za uchochezi!
   
 6. s

  sugi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  To hell with ccm
   
 7. S

  Sweetlove Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hicho ndo chama cha magamba chwiti!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi siamini kama ualim ni wito maana maprofesa wote walionifundisha sikwasikia wakisema kuwa huu ni wito,na nashukuru wakat nasoma nao waligoma KUFUNDISHA KWA SIKU 2 AU 3,kama ni wito nao wasingegoma
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  User ya mtoa mada ni kielelezo kua ni MTOTO.......nahisi atakua bado anasoma kama si waka wa kwanza basi wa pili,tena inawezekana kwenye hivi vyuo vya kata
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwalimu......
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Nani sasa atawafundisha watoto wetu?? Usiache aisee....
   
Loading...