tozi
Member
- Jun 26, 2011
- 11
- 1
1. mara zote mfanye mwalimu mwoga kwa serikali na chama. 2. Mlaghai kwa WITO na si kipato. 3. Mfundishe kuwa mpole asidai haki. 4.Mfanye asiajiliwesekta nyingine ili umtumie. 5.Mtumie kwenye chaguzi na sensa ajione bora 7.Msifie kila siku avimbe kichwa 8.Weka viongoziwa chama CWT ili asifurukute 9. mtumie kama ubao wa matangazokwa tshirt za chama. 10Mara zote wagawe na kuwatawala. amen