Amri 10 Za MWENYEEZI MUNGU

Hizi ndizo zinafaa kuwa sheria za dunia nzima! Ee' Mungu tuepushe na vipofu wasiokuona...! Wafumbue macho wajue hakuna mwanadam wa kukusaidia zaidi ya wewe kumsaidia.
 
kwa vile ni za kanisa?

Ni amri za Mungu c za kanisa haziwahusu tuu watu washetani ila kila aliye wa Mungu zina mhusu....! Akiri yako kiduchu imeisha kusukuma kwa ukristo na uislam alipewa Musa kama nyie ni upande wa fillauni shauri yenu!
 
Acha swali la kizushi. Sisi tuna Mungu mmoja tu na ndiye aliyetoa hizo amri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…