some time kaka inakuwa issue mtu kutagi mshahara wake mkubwa jaribu kufanya kwa mtu direct
sometimes net pay inaweza kuwa kubwa ila benefits kidogo nakushauri ulizia vyote!
Wakuu salaam! Ningependa mnidirectie kwenye vacancy inaoendana na course zangu za bagen maana natazamia kumaliza chuo mwishon mwa mwez ujao
tengeneza GPA,acha wengeWakuu salaam! Ningependa mnidirectie kwenye vacancy inaoendana na course zangu za bagen maana natazamia kumaliza chuo mwishon mwa mwez ujao
Wakuu naomba kujua kuahusu pay ya hawa watu (AMREF Tanzania)? Siku hizi kuna International Organizations ambazo zinalipa chini kuliko hata our local companies. Kwa trend ya makampuni yetu sikuhizi naona ni muhimu mtu uwe na picha ya what you should expect kabla ya kupoteza muda kuandika applications na kuhudhuria interview(s) ...Wengine unafanya interview hata tatu! harafu mnafika mwisho ndo unagundua wanacholipa ni hela ya kujikimu.
Someone who has ever worked with them pse? Graduate anawezapata say 2.5M kama take home?
Natanguliza shukurani!

wanakuuliza una swali gani kwetu (AMREF)....Mie niliuliza kwa kazi hii mshahara wake kiasi gani....