Mkenye Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 218
- 410
Kama mumeoUnauliza hayo we kama nini frida amani au?
ata efm haishiki hapa nilipo nimekasirishwa sana na hili jambo clouds ni mpaka nikwee mtini,efm inakoroma TUKwa miaka ya hivi karibuni kipindi cha Amplifaya kinachorushwa na Clouds Fm kuanzia jumatatu hadi ijumaa saa kumi hadi kumi na mbili jioni, kikiendeshwa na Millard Ayo na Frida Amani; kimekuwa kipindi kinachogusia mada mbalimbali kuhusiana na maisha yetu ya kila siku pamoja na desturi zetu kama Watanzania.
Kama mdau umejifunza mambo gani kutokana na hicho kipindi na ungependa waboreshe nini ili kipindi kiwe bora zaidi.
Matangazo ni mengi kuliko muda wa kipindi chenyeweNimejifunza matangazo ya biashara sio Lazima yawe katika form ya jingles Ila upate watu wa kuyaelezea kwa mbwembwe.Kifupi ni kipindi Cha matangazo.