Bahalulu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 106
- 23
Jamaa mmoja wa wilaya ya Karat anayefahamika kwa jina la BabuVery amempiga mchumba wake ambaye enzi za uhai wake alikuwa anaitwa Mwanisi, kisa cha kumuua inasemekana ni kwamba jamaa alitoka club na baada ya kufika ghetto hapakuwa na maelewano na mchumba wake huyo na ndipo wakaanza kutukanana hadi kufikia hatua ya jamaa kuondoka lakini mchumba wake huyoalimfuata na ndipo jamaa akaamua kumpiga ngumi naalipoanguka akamaliza shughuli kwa mateke ya kutosha.. Hadi sasa BabuVery kashikiliwa na polisi. Hili ni tukio la 4 la mauaji ya peer to peer kwa eneo hilo.
Wana Jamii Forum tuwe makini sana, ugomvi sio mzuri ila njia yamazungumzo ndiyo kila kitu.
Wana Jamii Forum tuwe makini sana, ugomvi sio mzuri ila njia yamazungumzo ndiyo kila kitu.