Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Nov 1, 2010 #6 vitendo said: Kura 41,431 Click to expand... alikuwa anachuana na nani....mpinzani wake ana ngapi....tupe fuluu mkuu
vitendo said: Kura 41,431 Click to expand... alikuwa anachuana na nani....mpinzani wake ana ngapi....tupe fuluu mkuu
Gosbertgoodluck JF-Expert Member Mar 3, 2008 2,855 401 Nov 1, 2010 #7 fisadi kashinda. alianza kujiandaa zamani sana kwa kumfanyia mizengwe fisadi mwenzie saddiq wa morogoro. makala ahakikishe anafanya kazi ya kuwatumikia wananchi vinginevyo kimbunga cha chadema cha mwaka 2015 kitamfyatulia nje.
fisadi kashinda. alianza kujiandaa zamani sana kwa kumfanyia mizengwe fisadi mwenzie saddiq wa morogoro. makala ahakikishe anafanya kazi ya kuwatumikia wananchi vinginevyo kimbunga cha chadema cha mwaka 2015 kitamfyatulia nje.
M mk83 New Member Nov 1, 2010 2 0 Nov 1, 2010 #8 huyu makala jana tu alikuwa anapumullia mashine leo kashinda yeye.uchakachuaji wa hali ya kutisha:A S angry:
huyu makala jana tu alikuwa anapumullia mashine leo kashinda yeye.uchakachuaji wa hali ya kutisha:A S angry:
Ng'wanangwa JF-Expert Member Aug 28, 2010 10,827 4,172 Nov 1, 2010 #9 Erickb52 said: wa chama gani huyu makala? Click to expand... Chama Cha Makala (CCM)
Genekai R I P Feb 9, 2010 12,517 4,987 Nov 1, 2010 #10 Hizi ndo data hatutaki kuziona, ni chama gani, chadema, labour, ccm, updp, cuf, nccr, KANU, mdc, DP, tpp, ODM au anc?
Hizi ndo data hatutaki kuziona, ni chama gani, chadema, labour, ccm, updp, cuf, nccr, KANU, mdc, DP, tpp, ODM au anc?