Elections 2010 Amos Makalla mbunge mvomero

fisadi kashinda. alianza kujiandaa zamani sana kwa kumfanyia mizengwe fisadi mwenzie saddiq wa morogoro. makala ahakikishe anafanya kazi ya kuwatumikia wananchi vinginevyo kimbunga cha chadema cha mwaka 2015 kitamfyatulia nje.
 
huyu makala jana tu alikuwa anapumullia mashine leo kashinda yeye.uchakachuaji wa hali ya kutisha:A S angry:
 
Hizi ndo data hatutaki kuziona, ni chama gani, chadema, labour, ccm, updp, cuf, nccr, KANU, mdc, DP, tpp, ODM au anc?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom