PreGE2025 Amos Makalla apiga goti akiomba kutogombea ubunge Mvomero

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, CPA. Amos Mkalla, amepiga goti kuwaomba wakazi Mvomero, wamruhusu aendelee kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan na kwamba sasa siyo wakati muafaka kwa yeye kugombea Ubunge kwa kuwa, ana kazi kubwa aliyepewa na Mwenyekiti wake katika kazi za chama hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

1746696905814.png

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

CPA. Makalla ambaye alikuwa Mbunge wa zamani wa Mvomero, amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika Mtibwa Morogoro, kwenye ziara yake ya Mkoa wa Morogoro, licha ya mbunge wa sasa wa Mvomero, Bw. Jonas Van Zeeland, kuahidi kuwa endepo CPA. Makalla atachukua fomu yeye hatochukua na badala yake atamuunga mkono.

Hivi Mvomero imekosa kabisa watu wenye akili?
 
Ukifanya utafiti unaweza kuta huko mvomero kuna std sen tu
 
😅😆 Kuna baadhi ya maeneo ya nchi hii wananchi wamedumaa kifikra.
 
Anajishauwa tuu, alivyokuwa anatoana roho na Sadiq bus
 
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM, CPA. Amos Mkalla, amepiga goti kuwaomba wakazi Mvomero, wamruhusu aendelee kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan na kwamba sasa siyo wakati muafaka kwa yeye kugombea Ubunge kwa kuwa, ana kazi kubwa aliyepewa na Mwenyekiti wake katika kazi za chama hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

CPA. Makalla ambaye alikuwa Mbunge wa zamani wa Mvomero, amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika Mtibwa Morogoro, kwenye ziara yake ya Mkoa wa Morogoro, licha ya mbunge wa sasa wa Mvomero, Bw. Jonas Van Zeeland, kuahidi kuwa endepo CPA. Makalla atachukua fomu yeye hatochukua na badala yake atamuunga mkono.

Maigizo kutoka kama zile Indian Move, kuna nini cha maana hapo Mvomero?
 
Back
Top Bottom