Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla akisimikwa Kuwa "Mbokeleni" - Jina la Kichifu kwa Waluguru.
"Mbokeleni" - jina la heshima la kichifu kwa jamii ya Waluguru.
Hafla hiyo imefanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Morogoro, chini ya uongozi wa machifu wa Kiluguru, ikiwa ni ishara ya kutambua mchango wake kwa jamii na taifa kwa jumla.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025