Amo Blaze yu wapi?

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,902
Reaction score
5,272
Amo Blaze 'Foko Jembe'. Mwenye kujua huyu jamaa alipo anijuze. Dah mchizi kitambo sana alikuwa anafanya vizuri sana kwenye radio. Sauti nzito n anaujua muziki pia. Ningefurahi ningemsikia tena kwenye spika za radio yangu.
 
Huyu dogo alikuwa moja ya vichwa pale EA radio na baadae Ruge na Habash wakamvuta kipindi Choice fm inaanza ambako hakukaa sana ndio imekuwa kimya hata mimi sijamsikia tena.

Labda mtoto wa mjini Muuza Sura anaweza kujua pengine wanakutana kwenye bata.
 
Last edited by a moderator:
ukimuona Amo Blaze unapishana nae alivozeeka kwa pombe labda kama amebadilika tena....unyamwezi wote kapuni!mitungi kwa sana na sijui kama hali ngada...last time kumuona alikuwa anatoka na mama la kizungu!..kina lawrence marsha ndo madon wake wanaompa ahueni mjini
 

Duh! Aisee
 
Amos Bondo

Yeah! batch yao ilijaa wajanja wa town wakiwa EA radio kama DJ Steve B,DJ Rico,DJ Habib ,Ray C , Bashir Mohamed n.k walikuwa vijana wadogo very talented.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…