Mm pia ni mkata mtaa wa kawaida yaan siku nimepiga dili la kuweza kupata shilingi ya huakika naweza futa siku no njaa,sasa ngoja siku sijaona sent saa nne asubuhi ni mbali majamaa yashaanza kufyatua tumbon
Fanya kila njia uridhishe tumbo hata kuomba, baada ya hapo akili itapata akili ya kutafuta pesa, nenda katafute kazi ukipata utapata pesa, huko kwingine jaza mwenyewe.