Tanesco wanataka kupandisha gharama za Umeme wakati mwananchi wa kawaida yupo hoi kiuchumi!sasa nasema hivi:-vyama vya siasa, NGo's na Taasisi mbalimbali za kutetea Wananchi tunaomba mtuunge mkono KUPINGA ongezeko hilo Tanzania nzima.imekuwa kawaida Kwa serikali kutupandishia kodi visivyo halali sasa tumechoka!Yani Jana mmepunguza malipo ya Umeme Halafu Leo mnapandisha BEI"nonsense"Inauma sana kuona vyama vya siasa'NGo's na Taasisi nyingine za kutetea haki za Binadamu Kukaa kimya juu ya mambo muhimu km haya,wamejitahidi kumfungulia mashtaka Waziri mkuu na kwenye hili la UMEME Tuwe pamoja kutetea haki yetu ya kupata Mwanga.