Amka mshukuru mungu kwa kukulinda usiku kucha!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Chukua hata dk tatu tu kumshukuru mungu aliekuonyesha jumamosi ya leo tar 30 jul 11
jiulize umemhonga nini mungu usiwe icu umempa nini mungu usiwe mwaisela,kibasila
bali ni neema ya mungu uko hai basi baada ya kushukuru mwambie akulinde siku nzima
akuwezeshe urudi salama na kukufanikisha kwatika mambo ya mapeni na mengineyo

ombea waliosafarini wanaotumia vyombo mbali mbali mungu awafikishe salama popote
wanapoelekea mwombee huyo jiran yaako wa pembeni kulia na kushoto mungu akuwezeshe
akuna mamombi mazuri kama kuombea wengine nimepata mafanikio kupitia hili nimemwona
mungu live nikingangana na kuombea wengine wakakti nina shida zangu nyingi nikafunguliwa
moja baada ya moja

mungu awabariki
 
Back
Top Bottom