Aminini nawaambia "The World is Not Fair".

Aminini nawaambia "The World is Not Fair".

136608ee54d32b12abb27e620bdc7583.jpg
 
BUMUNDA ni maandazi yanayopikwa kwa mchanganyiko wa unga dona na ndizi mbivu kama sijakosea.
 
Hakikisha umekojoa .....sawa...ndo ulale
 
Mtaka yote kwa pupa hukosa yoote hahaha na ungelipata ilo bumunda lingelipuka vibaya km bom la Hiroshima na Nagasaki
 
Acha nae na waache wauze electronic zao za China. Kwa upande mwingine iwe changamoto kwako, usihame hapo kitaa mpaka uwaprove wrong.
Ye naye alienda na araka ya kutaka vyote si angesubiri kwanza amalize aliloanza nalo?
 
Ila amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu!!!! Usifikiri ye kukata connections anazozijua yeye ndo mwisho wa safari yako, omba Mungu atakufungulia nyingine na nyepesi zaidi adi utashangaa
 
Kujua mipaka yako ni jambo muhimu katika maisha.ukiendekeza matamanio utapoteza vingi.Ungeanza kwanza kufanya kilichokupeleka alafu baada ya kufanikiwa ndo ungeanza hizo pigo.
 
Nimesikitishwa sana na kitendo alichonifanyia jirani yetu.

Huyu binti anafanya kazi ya kuuza vifaa vya electronic kwa bei ya jumla ambavyo kaka yake huwa anaviingiza nchini kutoka huko Asia.

Huyo kaka yake ni mtu anayeheshimika sana hapa kitaa,
Kwani ni mtu serious na ana exposure kubwa sana kibiashara za kuvuka mipaka ya nchi-
Ingawa sijamzoea, hata mimi nikashawishika kwenda kumwomba msaada fulani kuhusu trip za China, Dubai na Thailand,
Akaniambia,
"Usihofu mdogo wangu nitakusaidia,
Na mipango yako itakaa sawa."

Akanipa kazi ya kutafuta documents fulani,
Na akani_connect na rafiki yake ambaye anafanya biashara ambayo ni ya plan yangu.

------
Kiukweli huyu binti ni shombeshombe fulani matata na amejazia wezere lenye kiki ya MAANA!
Yaani ni balaa!!!

Sasa katika mishemishe za hapa na pale nikawa nimeshamzoea japo kwa salamu tu,
Na kwa kuwa mara kadhaa aliniona nikienda kwao kuomba ushauri wa mambo yangu fulani kwa yule kaka yake-
Hivyo mara nyingi nikionana naye hutabasamu na kunifurahia.

--------------
Sasa kama mnavyojua katika harakati za kukomaza undugu nikatest zali la kuomba "Bumunda" kwa huyu mtoto mzuri.

Wakati naongea naye wala hakuonesha kukubali wala kukataa,
Nikampandia on WhatsApp ili nirekebishe korongo-
Mtoto anachomoa!
------

Sasa hatima yake nimeshangaa kubaini kuwa kaenda kusema kwao juu ya movements zangu zote za kumwomba "Bumunda"!!!

Na yule brother wake kanitumia text iliyonichokesha sana.
---
HIVI KAMA HUYU BINTI HATAKI KUNIPA "BUMUNDA" SI ANGENIAMBIA TU??

ND'O KAENDA KUNISEMEA KISA KUOMBA "BUMUNDA"?

HIVI NI KWELI KUOMBA " BUMUNDA" TU ND'O KUNAFANYA ANIHARIBIE CONNECTION YA KIBIASHARA NA KAKA YAKE KWELI??

YAANI "BUMUNDA" TU ND'O INIHARIBIE MIPANGO MIMI KABISA??

YAANI MIMI?!?!

NIMESIKITIKA SANA!!!

Nimekumbuka rap zako mbele ya madam Bulaya Yombo 5 mtoto wa nyumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom