Amina Mtengeti AKA Radhia Msuya

amina mtengeti yupi tena,mbona mnatuchanganya jamani?.

Mkuu hapo unachanganyikiwa na nini? Amina Mtengeti na Radhia Mtengeti Msuya na Asharose Mtengeti Migiro na Mwantumu Mtengeti Malale na Farida Mtengeti Simba na Rehema Mtengeti ni sisters of the same father and mother!
Amina Mtengeti ndiye aliyefariki jana! Hope nimekusaidia usichanganyikiwe
 
Amina Mtengeti ambaye Kwa sasa ni marehemu ni Mdogo wa Balozi Radhia msuya haya naona tumeelewana
 

Thanx Mkuu naona ameshaelewa
 
maelezo ya ziada

http://www.mashughuliblog.com/2010/04/harusi-ya-munga-shabani-mtengeti-lunch.html?m=1
 
maelezo ya ziada

http://www.mashughuliblog.com/2010/04/harusi-ya-munga-shabani-mtengeti-lunch.html?m=1

Ahsante nilikuwepo kwenye harusi hii ya mdogo wao wa kiume Munga!
 
Je huyu mama ni mtu mmoja?Watu wa Mambo ya Nje tuambieni!
Hico cheo chake ni kwa Merit au Chakula cha wakubwa?
Hivi ndugu yangu umeshindwa kuuliza kwa staha? maana yako ni nini hasa kumkashifu mtu mwenye heshima zake ? Au kwa vile ni mwanamke???
 

BAK nimeipenda hii comment yako ambayo uliitoa miaka kumi iliyopita!
 
Reactions: BAK
Duh ila Jiwe amepoteza wengi kwenye ramani aisee..... Maana hawa wote wamepotea hata kwenye ujumbe wa nyumba kumi hawasikiki. Ama kweli aliyedhania kwamba watakaoisoma number ni wa upande ulee..alikosea kabisa.

Jiwe ni shida! I hope na yeye wateule wake hawatapotezwa akiondoka........Maana hili taifa letu tukufu..tunalijua wenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…