vyuku JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 503 Reaction score 87 May 29, 2013 #81 mndeewake said: wewe nae acha uzushi wako, mwenzio mke wa mtu huyo... Click to expand... Tena amuheshimu na sio sehemu ya kyandika upuuzi kwa ndoa za watu
mndeewake said: wewe nae acha uzushi wako, mwenzio mke wa mtu huyo... Click to expand... Tena amuheshimu na sio sehemu ya kyandika upuuzi kwa ndoa za watu
M mndeewake Senior Member Joined May 3, 2013 Posts 117 Reaction score 41 May 29, 2013 #82 Kigogo said: kwanza kibaya bana ...mishavu ile Click to expand... umemkubali hadi umekosa la kusema unaona uingilie uumbaji wa Mungu, weka yako basi tukutathimini km unadhani watu walikuwa wanafanya tathmini ya sura za watu, wivu tu huo, watu wengine bwana.
Kigogo said: kwanza kibaya bana ...mishavu ile Click to expand... umemkubali hadi umekosa la kusema unaona uingilie uumbaji wa Mungu, weka yako basi tukutathimini km unadhani watu walikuwa wanafanya tathmini ya sura za watu, wivu tu huo, watu wengine bwana.
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Nov 17, 2015 Thread starter #83 Da Amiina hongera. Dua yangu imetia.
Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,378 Reaction score 2,057 Nov 17, 2015 #84 Kama hajatoa ushirikiano ule wa uhakika na system ya magamba anaweza akaambulia kuuza sura tu ccm inawenyewe.
Kama hajatoa ushirikiano ule wa uhakika na system ya magamba anaweza akaambulia kuuza sura tu ccm inawenyewe.
Bella Ciao JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 1,804 Reaction score 4,475 May 23, 2021 #85 Mmhh