Amigooooooooooo!!! Ukweli huu hapa.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,852
Reaction score
35,620
Wana jamvi leo niko pande za wanaume jamani nasema jamani.
Kama hatutofanya mazoezi na kupunguza vitambi ili kuondoa mafuta mengi ktk miili yetu heshima ndani ya ndoa zetu zitaisha kabisa na vijana wapenda sifa watawakung'uta wake zetu hadi zichakae hata kama tunatoa na kuhudumia kila kitu
amigoooooooooooooooooooo.
 
Leo nimeshangazwa na mama mtu mzima kunielza yeye kinachomtoa nje ni kwa kua mume wake ameshuka kiwango cha ushambuliaji na ufungaji nae anataka faraja na hii imesababishwa na kitumbo pakacha na uvivu juuu
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani😛eep::deadhorse:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…