Amfelisha mkewe kwa uzembe

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Profesa mmoja wa Chuo Kikuu kimoja hapa nchini, amemfelisha mkewe katika moja ya mitihani yake ambayo Profesa huyo ndio somo lake.

Wenzie walipomuuliza alijibu tu kwa kifupi kwamba anajua mkewe ni mzembe maana hasomi, zaidi ya kuangalia luninga.

Yasemekana Profesa huyo ni mtu mwenye misimamo ya kweli na dhati na hata rafiki yake mmoja aliwahi kumpigia simu ili ampaishe mwanaye lakini Prof alipopokea tu na kujua swahiba wake ana mtoto hapo alimwambia mwanao hana akili kabisa na 'hasomi' na baba kuishiwa cha kuendelea.
 
hahahaha si ma leprofesri wana kipato kizuri...anaweza tafuta dangaji nje.

au kama kauzu sana anajiridhisha mwenyewe...sio kesi.
Au akamkata denti mzuri kwenye somo mojawapo
 
Atakua ana matatizo ya kisaikolojia yanayopelekea kumkomoa mkewe ili aonekane kidume.

Ukiwa dhaifu upande fulani lazima uoneshe ubabe upande mwingine.
 
Atakua ana matatizo ya kisaikolojia yanayopelekea kumkomoa mkewe ili aonekane kidume.

Ukiwa dhaifu upande fulani lazima uoneshe ubabe upande mwingine.
Maprof wengi ni kama madishi hayako sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…