Ametoa mimba yangu

...wewe mwenyewe huna uhakika kama illikuwa yako ama ya rafiki zako alotembea naoooo....

Ka huna mpango wa kuishi nae usimpotezee muda mwache akajichanganye na wengineee..
 
Umembaka sheria inasemaje?
 
...wewe mwenyewe huna uhakika kama illikuwa yako ama ya rafiki zako alotembea naoooo....

Ka huna mpango wa kuishi nae usimpotezee muda mwache akajichanganye na wengineee..
lakin namuonea sana huruma anapoelkea sipo kwakwel, hapa nnapoandika hivi ametoloka kwao mama ake amefuma message zaAjabu kweli kweli kwaumri aliokuwa amekwisha potea
 
Acha kua na kigeugeu...

Alikufahamisha ana mimba yako, ukaikataa kwa nguvu zote, ameitoa unajifanya roho inakuuma, huo ni unafiki...

Sema moyoni unafurahia...


Cc: mahondaw
 
Bwege wewe
 
Hahaha hizi story za ajabu sana. Mwanamke una lala naye usiku asubuhi mnaamka anakwambia umempa mimba, hahaha.

Mleta mada umeambiwa tu, huku wahi kuthibitisha huo uja uzito/mimba, na ukaamini.

Hukuwahi hata kumpima au kupima, kakwambia ulimpa mimba, akaitoa na blabla nyiiingi.

Hizi hadithi nilikuwa nazisikia enzi hizoooo tuko secondary.

Ungetamani awe na uja uzito na uwe ni wewe uliyempa, bahati mbaya unaamini story za wasichana wanaojifunza kuanza kuchuna hahaha.
 
Ana miaka 17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…