Amesahau kusoma

Amesahau kusoma

dnmwami

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Kuna dada mmoja amepewa gazeti na mdogo wake akamjibu kwamba siku nyingi hajasoma gazeti amesahau kusoma. inawezekana hii kitu wanajamvi?
 
Kama unaweza kumsahau mtu mmoja tu, utashindwaje kusahau herufi 26? Mbona rahisi tu.
 
Back
Top Bottom