Mh mbona kule jukwaa la ajira kuna kijiwe chetu cha kuelekezana wapi kuna michongo sisi wanaumeSijaona alipolia.
Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Hahaha kunywa maji kwanza Numby utapaliwa [emoji3]Sijaona alipolia.
Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
huu mtindo ukipeleka moto kwa ufasaha lazima ashindwe kujizuia
Punguza makasiriko mkuuSijaona alipolia.
Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Maisha unayoishi wewe ndo hayohayo watanzania karibu wote wanayaishiSijaona alipolia.
Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Hahaha kunywa maji kwanza Numby utapaliwa [emoji3]
Kwa hii comment yako vaa element wanakuja na maweSijaona alipolia.
Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Hii ndio JFSijaona alipolia.
Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
🤣🤣🤣🤣🤣 Umesahau wote wana madem wakali.Sijaona alipolia.