Rais Magufuli ni Kiongozi bora kabisa katika Afrika, hayo yote yaliyoandikwa hapo hakuna hata moja linamgusa. Hakika ni Rais bora kutokea Afrika na dunia inajua hivyo. Kasoro ile roho inayotawala Ufipa.Biblia inasema upinzani unatoka kwa shetani.Ukiwa karibu na mgufuli akisoma huu ujumbe unadhani ata react vipi!?
".....nakupa gari ya kutembelea, nakupa mshahara, nakupa nyumba halafu umtamgaze mpinzani" mwisho wa kumnukuu.Rais Magufuli ni Kiongozi bora kabisa katika Afrika, hayo yote yaliyoandikwa hapo hakuna hata moja linamgusa. Hakika ni Rais bora kutokea Afrika na dunia inajua hivyo. Kasoro ile roho inayotawala Ufipa.Biblia inasema upinzani unatoka kwa shetani.
Kupenda chongo, huita kengeza.Rais Magufuli ni Kiongozi bora kabisa katika Afrika, hayo yote yaliyoandikwa hapo hakuna hata moja linamgusa. Hakika ni Rais bora kutokea Afrika na dunia inajua hivyo. Kasoro ile roho inayotawala Ufipa.Biblia inasema upinzani unatoka kwa shetani.
Pamoja na yote lazima tujipime wenyewe, je watawala wengi wa huku Afrika wapo hivyo? Na kama wapo hivyo hill la Trump na nchi za Kiarabu haliwezi kuhalalisha kuwa na watawala walio kwa jinsi hiyo alosema yeye wapo sahihi. Halafu tumkumbuke huyu Trump alishasema kwamba katika utawala ama uongozi wake atakuwa anajali maslahi ya Marekani kwanza, bila kujali ni kwa gharama gani, na si maslahi yake binafsi wala ya chama chake; jambo ambalo kwa viongozi ama watawala wengi wa Afrika ni msamiati mgumu kwao.Ajitathimini kwanza kwa nn yeye anaua watu ovyo kutoka nchi za kiarabu,Is he a human?
Huo ni ushihirisho wa utawala wa ukatili na udikteta wa kisiasa ndani ya nchi inayojigamba ya kidemokrasia".....nakupa gari ya kutembelea, nakupa mshahara, nakupa nyumba halafu umtamgaze mpinzani" mwisho wa kumnukuu.
Huyo ndio jinamizi bora wako si eti