kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
[h=2]America wants to sit on china[/h]
Kiingereza cha Kitanzania
Mkuu ni kweli USA anajitahidi hivyo ila wakati wake unakalibia ukingoni, Na anacho fanya kwa sasa ni kujalibu kutengeneza matatizo kule China, kwa kutumia nchi kama Japani, Philipine na India na Taiwan

Kwanza ni mtanzania hivyo kingereza changu lazima kiwe cha watu hao.btw umeelewa lengo la sit on? Na kiingereza changu cha kitanzana mfano ukiambiwa "ccm is sitting on Tanzanians development" ni kiingereza cha kitanzania? Hiyo ni kwa yule asiyejua kuwa sit on someone ni phrase inayomaanisha delaying certain activity done by him.....lugha ni pana.kwa kiingereza changu cha kiswahili niliitumia sit on kama phrase kuna kosa??
wamechelea, unajua kwa vitaofa vyetu hivi vilivyodumu miaka 50-60 hatuwezi kuelewa kuwa kwa karne na karne CHINA ilikuwa moja ya mataifa yenye nguvu sana duniani, naongelea miaka zaidi ya 5000. sasa watu kama hawa kunyanyasika kwa miaka 50-100 wakati wakijipanga sio tatizo kwao.
mwishoni mwa karne ya 18 CHINA ndio ilikuwa superpower ya dunia. miaka 200 baadae wanarudi walipokuwa. CHINA ilikuwa superpower wakati marekani bado ni hadithi. sasa kwenye kutatua majanga mengi wachina wana hazina ya zaidi ya miaka 5000 ya kugelezea majibu na kutafuta reference. washapambana na kinga Gengistan, kina roman empire,n.k, wanaujuzi wa muda mrefu sana wa uongozi na utatuzi wa matatizo.
Kumsubiria mchina ateleze ni issue ya kungoja karne 2-3.watoto wa mjini wanasema baadae sana.
Japan ndiye ambaye amekuwa mbele zaidi kwenye swala la kumchafua na kumbughudhi mchina.kwenye ukanda wao japan ndiye mshirika muhimu zaidi na ambaye USA anafanya nae mambo mengi.ukiangalia swala la kugombania visiwa na la shinzo kwenda kwenye shrine ya yasukun pamoja na kubadili historia na kuisafisha Japan inaonyesha wazi japan ana jipya kwa mchina.
Bahati nzuri mchina amekuwa mtu wa maamuzi ya busara wakati mwingi si wakukurupuka na kudai kwa vitisho.busara yao ipo ila nadhani iko siku watachoka na huu ukaribu na Putin unaweza kuwa na jipya kati yao.
Miafrika ndivyo tulivyo tunamshamshangaa mtanzania mwenzetu kwa kushindwa kumudu lugha ya mkoloni, wakati huohuo tunampongeza mchina, Mjapani na wengineo kwa kudumisha lugha zao.
Mkuu ni kweli USA anajitahidi hivyo ila wakati wake unakalibia ukingoni, Na anacho fanya kwa sasa ni kujalibu kutengeneza matatizo kule China, kwa kutumia nchi kama Japani, Philipine na India na Taiwan
Japan ndiye ambaye amekuwa mbele zaidi kwenye swala la kumchafua na kumbughudhi mchina.kwenye ukanda wao japan ndiye mshirika muhimu zaidi na ambaye USA anafanya nae mambo mengi.ukiangalia swala la kugombania visiwa na la shinzo kwenda kwenye shrine ya yasukun pamoja na kubadili historia na kuisafisha Japan inaonyesha wazi japan ana jipya kwa mchina.
Bahati nzuri mchina amekuwa mtu wa maamuzi ya busara wakati mwingi si wakukurupuka na kudai kwa vitisho.busara yao ipo ila nadhani iko siku watachoka na huu ukaribu na Putin unaweza kuwa na jipya kati yao.
Hakuna nchi hata moja ya Asia inayowapenda wajapan...
Nilishangazwa na hili; kisa ni kuwa aliwatawala jirani zake enzi za ukoloni na experience ilikuwa mbaya kuliko; kila ninaye muuliza hataki hata kusema nini alichokuwa anawatenda....alikuwa mnyama ...
Na jamaa hawataki kusamehe wala kusahau...
US ndio akaja kumstopisha na kumtawala na yeye...alikuwa bad news...
Na nina washikaji wa Japan ukitaka wakuchukie sifia China (naweza sema hawa jamaa wana roho ya wivu ten mbaya)
Mbaya zaidi yeye ndo ambaye hajaelewa kilichosemwa....
Kwanza ni mtanzania hivyo kingereza changu lazima kiwe cha watu hao.btw umeelewa lengo la sit on? Na kiingereza changu cha kitanzana mfano ukiambiwa "ccm is sitting on Tanzanians development" ni kiingereza cha kitanzania? Hiyo ni kwa yule asiyejua kuwa sit on someone ni phrase inayomaanisha delaying certain activity done by him.....lugha ni pana.kwa kiingereza changu cha kiswahili niliitumia sit on kama phrase kuna kosa??
Una uhakika na unacho Kinena?